Kiingereza Chenga, Luís Miquissone (26) ana changamoto kuhusu lugha ARCH-FORUM TZ February 18, 2022 ARCH-FORUM TZ 🇲🇿 Luís Miquissone (26) ana changamoto kuhusu lugha nchini Misri. Klabu yake Al Ahly wameajiri mhadhiri wa Kiingereza na Profesa kumsaidia na pia kusoma Kiarabu. Luís ni hodari wa kuzungumza Kireno.Chanzo: #KitengeSports 𝗦𝗨𝗕𝗦𝗖𝗥𝗜𝗕𝗘 👇👇👇 Twitter Facebook Google Tumblr Pinterest
No comments:
Post a Comment