#NBCPL Goli la kwanza kwa Geita Gold ni penati ya George Mpole; Hili ni goli lake ya saba kwenye ligi msimu huu.
#NBCPL Goli la pili limetoka kwa Danny Lyanga….Hili ni goli lake la nne kwenye ligi msimu huu.
FT’: Geita Gold FC 2-0 Coastal Union
#AzamSports1HD #NBCPremierLeague #NBCPL #NBCPLUpdates #LigiKuuYaNBC #GeitaGoldVsCoastalUnion #GeitaGold #CoastalUnion
No comments:
Post a Comment